Na WAF, Dodoma Wanataaluma ya optometria nchini wametakiwa kutoa huduma kwa wananchi kwa kuzingatia mawanda ya majukumu yao pamoja na sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya taaluma zao... Read More

Na WAF, Dodoma Wanataaluma ya optometria nchini wametakiwa kutoa huduma kwa wananchi kwa kuzingatia mawanda ya majukumu yao pamoja na sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya taaluma zao... Read More
Na WAF Dar, es Salaam Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mkoa wa Dar es Salaam inatarajia kuanza zoezi la umezeshaji wa Kingatiba dhidi ya magonjwa ya matende na mabusha au ngirimaji... Read More
Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amelitaka Baraza jipya la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) kuwachukulia hatua kali wauguzi na wakunga watakaokiuka misingi ya sheria... Read More
NA WAF-Dodoma Serikali imefanikiwa kupunguza vifo vya watoto wachanga kwa kiwango kikubwa, huku mfumo wa usafiri wa dharura, M-Mama ukichangia kuokoa maisha ya akinamama na watoto wacha... Read More
Na WAF - Kilimanjaro Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameitaka bodi mpya ya Hospitali Maalum ya Taifa ya Magonjwa ambukizi Kibong'oto kufanya kazi kwa haraka ili kuendana na kasi ya ... Read More
NA WAF SERIKALI kupitia Wizara ya Afya itaendelea kutekeleza mkakati wake wa kuimarisha huduma za dharura nje ya hospitali kwa kushirikiana na wadau binafsi. Hayo yamebainishwa na ... Read More
Na WAF - Dodoma Tanzania na Japan zimetia saini hati ya Makubaliano (MoU) ya utekelezaji miradi ya huduma za Afya lengo likiwa kuboresha huduma hizo na kuhuisha ushirikiano kwa kipindi ... Read More
Na WAF, Dodoma Waganga Wakuu wa mikoa tisa na Waratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma wa mikoa wameonesha utayari wao wa shughuli za uibuaji wa wagonjwa wa kifua kikuu kwenye mapango harakishi... Read More
Na WAF - Same, Kilimanjaro Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga kiasi cha Shilingi Milioni 600 ili kuipandisha hadhi Zahanati ya Suji iliyopo kijiji cha Malindi Wilaya ya Same mkoan... Read More
Na WAF - Rombo, Kilimanjaro Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ametekeleza kwa vitendo maagizo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ya ujenz... Read More