Na. WAF - Tanga Tume iliyoundwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu kuchunguza kifo Cha mjamzito, Mariam Zahoro imebaini kuwa kifo hicho kilitokana na uzembe wa wataalam wa Afya na sio ... Read More

Na. WAF - Tanga Tume iliyoundwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu kuchunguza kifo Cha mjamzito, Mariam Zahoro imebaini kuwa kifo hicho kilitokana na uzembe wa wataalam wa Afya na sio ... Read More
Na WAF – Shinyanga Wataalamu wa Afya wametakiwa kutumia taaluma na ueledi walionao kwa kuzingatia mafunzo ya chati uchungu ili kupunguza idadi ya vifo vya Mama na Mtoto ambavyo vimekuwa... Read More
Na. WAF - Tanga Watumishi wawili wakutwa na tuhuma za kujibu kwenye kifo cha Bi. Mariam Zahoro mkazi wa Kijiji cha Mumbwi katika Wilaya ya Handeni kilichotokea kwenye Kituo cha Af... Read More
Bohari ya Dawa (MSD), imetwaa tuzo ya Mlipa kodi Bora kwa mwaka 2023 ya Mamlaka ya Kodi Tanzania. Tuzo hizo zilitolewa jana usiku katika hafla maalum ya wiki ya Mlipakodi zilizofanyika ... Read More
Na WAF - Luanda, Angola. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu amemuwakilisha Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu katika mkutano wa Jumuiya ya SADC wa Mawaziri wa Afya na Mawazir... Read More
Na WAF – DAR ES SALAM Mpango Mpya wa Kudhibiti UKIMWI, Magonjwa ya Ngono na Homa ya Ini (NASHCoP) umezinduliwa leo rasmi ambapo umekabidhiwa dhamana ya kutokomeza maambukizi mapya ya Vi... Read More
Serikali kupitia Wizara ya Afya imepanga kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe iliyopo katika kata ya Vwawa, Wilaya ya Mbozi mkoani humo kabla ya mwaka 2025 H... Read More
Na WAF – DODOMA Wahandisi wa Vifaaa Tiba na wataalam wa afya Nchini wametakiwa kulinda na kutunza vifaa vya kisasa ambavyo Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuwekeza ... Read More
Na. WAF - Tanga Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga mjini amekabidhi vifaa vyenye thamani ya Tsh: Mil. 156 ambavyo vinalenga kuharakisha uponaji... Read More
Na WAF – Dodoma Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo pamoja asasi za kiraia imepanga kuendelea kumiarisha rasilimali watu katika sekta ya afya kwa kuajiri wa... Read More